Karibuni St John main campus Mazengo

Karibuni St John main campus Mazengo

sir doctor

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
291
Reaction score
66
Hello group kwa wale form six wanaopenda kusoma kozi hasa za afya karibu chuo kikuu cha st john university

Bachelor of pharmacy

Bachelor of science in nursing nafazi ni chacheee

Niulize chochotee nitakujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwadanganya Watanzania wewe. Chuo hiko kanjanja kimepigwa kufuli na TCU kisidahili wanafunzi mwaka wa masomo 2017/2018 katika kampasi zake za Msalato na Marks. Sasa unataka wanafunzi waende huko kulima maboga na kupika chimpungu?
 
Campus ya st john mazengo main campus iko waziii haijafungiwa mkuu fatilia mambo acha kukurupuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello watanzania wenzangu napenda kuwakaribisha katika chuo chetu cha st john main campus mazengo hakijafungiwa waliofungiwa na matawi yake TU madogo ya dar na msalato Dodoma

Karibu kozi za education pharmacy nursing kwa level ya diploma na degrees

Nafazi ni chache

Karibu ni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Campus ya st john mazengo main campus iko waziii haijafungiwa mkuu fatilia mambo acha kukurupuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Haina maana yoyote hiyo. What is main campus wakati matawi yote ni ukanjanja mtupu? Mwongozo wanapata wapi? Like Father like Son. Usipoteze muda kusoma chuo cha makanjanja wakati kuna credible universities hapa nchini.
 
TCU WANADAI HAKUNA WALIMU WA KUTOSHA JAPO NI UKAGUZI WA SIKU NYINGI SASA HV KUNA WALIMU WA KUTOSHA HVO WIKI HII KUNA KIKAO NA TCU NA CHUO HUENDA WAKARUHUSU UDAHILI

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni udahili wa senene au watu wenye akili? Yaani nipoteze muda na fedha zangu kwenda chuo chenye mashaka wakati vyuo vya uhakika vipo!!!
 
Haina maana yoyote hiyo. What is main campus wakati matawi yote ni ukanjanja mtupu? Mwongozo wanapata wapi? Like Father like Son. Usipoteze muda kusoma chuo cha makanjanja wakati kuna credible universities hapa nchini.
Ungejua kwanini wamefungiwa usingejaribu kuropoka ovyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kusoma business adminstration main campus haijafungiwa????? Na evening class IPO?????

Samsung J7
 
Back
Top Bottom