Hata sina habarii, maana nilitoka huko October mwshoni, ilikua iko ktk ukarabati.imefunguliwa tangu Eid
karibu utatukuta na chanta na lacharz yetu 🤩Yess hometown kwetuu ni
pamefunguliwa ila mambo ni🔥🔥Hata sina habarii, maana nilitoka huko October mwshoni, ilikua iko ktk ukarabati.
Mie napendaga kukaa pale Krista park,karibu utatukuta na chanta na lacharz yetu
Sema palee location ake, kwangu binafsi sijapenda. Napenda sehemu iwe ya kujifichaa hivi.pamefunguliwa ila mambo ni
napenda sana misosi ya krista park,,, au kule chini karibu na songea girls wanapaita wabeja ni 🔥🔥Mie napendaga kukaa pale Krista park,
Km La charlz huwa naingia lounge kule ndani, afu natuliaa kushangaa walevii, maana situmii kinywaji mie.
pale ni barabarani ofcourse,,, usiku panawaka sanaa aisee 😊Sema palee location ake, kwangu binafsi sijapenda. Napenda sehemu iwe ya kujifichaa hivi.
Pazuri sana. Pamoja na kwamba nimezaliwa Kumbwani, huwa naenda nyumbani Parangu, Peramiho kwa baba na Likuyufusi kwa mama. Na nikabahatika kusoma A-level Songea Boys 2002 to 2004.Songea home kwetu ni pazurii
Pamekaa road mnoo, ila ndo vizuri wageni wanafika kwa urahisi.pale ni barabarani ofcourse,,, usiku panawaka sanaa aisee
napenda sana misosi ya krista park,,, au kule chini karibu na songea girls wanapaita wabeja ni
Maybe tunajuana..mtajie hilo jina. Ni wadogo zetu hao. Tumeishi nao kwa wema sana. Wangoni tu wakarimu sana..Kunyumba kwa bwina, SBSS Kaka angu ndo alikua 4m1 hapo 2004,
yeah hukohuko 😂mitaa ya Lamoly
napita sana huko mkuu,,, matogoro, mabatini,makambi, seedfarm, luhiraseko🤩🤩Hakuuna hata mtu wa matogoro humu? Mitaaa yangu ya mabatini
Matogoro majirani zetu Boys pale. Kuna Chuo cha Ualimu Songea..I am deeply touched by this...a wonderful memory.Hakuuna hata mtu wa matogoro humu? Mitaaa yangu ya mabatini
Kwa kina Chimgege..Hakuuna hata mtu wa matogoro humu? Mitaaa yangu ya mabatini
Noo yeye alikua 2005, ndo alianza 4m 1 hapo.Maybe tunajuana..mtajie hilo jina. Ni wadogo zetu hao. Tumeishi nao kwa wema sana. Wangoni tu wakarimu sana..
Hapo sawaNoo yeye alikua 2005, ndo alianza 4m 1 hapo.
Ndo maana nkafutaa, haku kukuta