Mpitimbi misheni, butcher LA meni bado lipo??nimemic kitimoto chake, master mwenyewe Digno, nimepamiss mno.Mimi nipo hapa mpitimbi mission nacheza dogoli huku nikiwa na bakuli la mbege,afu kwa mbali naona mbali naona akina mama wakicheza mandilu.
😀😀hakuna mkoa unaitwa Songea.Kuna mkoa wa Ruvuma.Kulikuwepo na vyuo vikuu vitatu SAUT-Songea,St Joseph naSongea ni mkoa ambao unaongoza Kwa watu wenye roho mbaya na ubinafsi hususan wanapoona mtu mgeni anafanya maendeleo,, ni mkoa ambao una fulsa nyingi lkn wenyeji wamekuwa vipofu na kuzingatia ushirikina, Songea hakuna chuo kikuu hata kimoja yaan ni mkoa ambao bado upo nyuma mnooo,, jitahidin mbadilike jamani hiii nchi yetu sote
Duh! HatariWajeda wa 4 walimla mande, mtungo huo, alilazwa peramiho, kakaa week 3 alivyopona akaenda Arusha, kakaa km miezi 3 aibu ilipoisha alirud, ila huduma mara nyingi wako wasaidizi wake.
AJUCO, kimebadilishwa jina ila kipo, ni chuo cha kati.hakuna mkoa unaitwa Songea.Kuna mkoa wa Ruvuma.Kulikuwepo na vyuo vikuu vitatu SAUT-Songea,St Joseph na
Archbishop james university college, peramiho medical campus-
Peramiho ...kipindi cha Magufuli vikaondolewa hadhi(status) ya University. Peramiho kimebaki kuwa Institute na SAUT Songea nadhani kilishafungwa kabisa
Umepangiwa shule gani?
Umejumuisha sana, uchawi uliopo ndani ya familia/ukoo wako ndio umefikiri mkoa mzima upo hivyo?Songea ndio home boy kabisa hapo sema kinachoniboa huko uchawi sana yani usishangae kila nyumba ni wanga yani kulogana mwanzo mwisho ndio mana hata mzuka wa kuja huko kiukweli sina kabisaa eniwei ndio maskani sema wasalimie wote huko.
Mkuu me sio mwaaalimu. Harakati zangu za ki 26*****,
UMejuaje kwamba mwamba ni Ticha, au hii ni code mpya ya [mention]Mpwayungu [/mention]
% kubwa vijana wavivu,wanafunguliwa vizibo hakuna hoja ya wivu kama Kuna udhaifu mnachanwa tu,, haiwezekan mtu amenunua shamba kwenye arakati za kuliendeleza yamechimbwa mabwawa hrf mwisho wa siku watu wanamwaga sumu kwenye mabwawa kisa shamba amenunua mgeni ,, Sasa hapo yupi mwenye roho mbaya? Usitetee ujinga kama upo na hoja yakujenga wilaya yenu,, badirikeniUshirikina kila sehemu upo usisingizie Songea tu mbona Sumbawanga wanasifika sana lakin je hakuna wageni na wamefanya maendeleo makubwa tu. Lakin hoja yako ya kutokua na chuo kikuu haina mashiko kwan kuna mikoa mingapi haina vyuo vikuu lakini wanaishi tu. Acha wivu na Dharau za kijinga karibu tule ulusiti a.k.a wakurya wanaita kichuri
"Kwanini wanamwita hivyo?" mwisho wa kunukuuKwa wale madereva wa malori ya makaa ya mawe, vp mama Sitombeki bado ana mgahawa wake?
Bado nakwambia acha mihemko bhana Songea kuna mabwawa mangapi yanamilikiwa na wageni na hayajamwagiwa sumu. Sema ndugu ako alizunguka ndoa maana wakamfanyia ivoo. Usijifanye mbabe sehemu za watu bali ishi nao vizuri tu ila ukizingua unazinguliwa hakuna unyonge% kubwa vijana wavivu,wanafunguliwa vizibo hakuna hoja ya wivu kama Kuna udhaifu mnachanwa tu,, haiwezekan mtu amenunua shamba kwenye arakati za kuliendeleza yamechimbwa mabwawa hrf mwisho wa siku watu wanamwaga sumu kwenye mabwawa kisa shamba amenunua mgeni ,, Sasa hapo yupi mwenye roho mbaya? Usitetee ujinga kama upo na hoja yakujenga wilaya yenu,, badirikeni
Ukoto kutuliga Bambu wenga, tihumi ku nyoko yeniyo, heshima Sana penapo, nivili hapa pa Magagura nikulindila na ulanzi lidebe limonga na mdalaHio sehemu maarufu kwa misosi hasa Kuku pana mipaka mikubwa Ila wangoni ni nyoko, nimesahau jina ndio sehemu maarufu hapo songea, Delux ni nyoko
Bado nakwambia acha mihemko bhana Songea kuna mabwawa mangapi yanamilikiwa na wageni na hayajamwagiwa sumu. Sema ndugu ako alizunguka ndoa maana wakamfanyia ivoo. Usijifanye mbabe sehemu za watu bali ishi nao vizuri tu ila ukizingua unazinguliwa hakuna unyonge
Umenikumbusha mbali sana coca, mweeeeh urusti jamani mtamuUrustiii km urustii,
Umkute saibogi kautengeneza vizuri, wee namaliza hela yangu hapoo.
"Mungu hapendi mgombane wanae" mwisho wa kunukuuakili za vijana wa songea ni mahusiano tuu ndiomana nakwambia mnafunguliwa vizibo,,Sasa hapo swala la ndoa limetoka wapi? Mzeee mpo Vzr imeisha hiyooooo nyie wababe bhana
Kwanza ana mswambwanda mwingi sana na ni mcheshi sana kwahiyo madereva huwa wanahisi ni mwepesi kama mama lishe wengine. Unaishia kula kuku mzima na keep chenji nyingi mwisho wa siku humpati"Kwanini wanamwita hivyo?" mwisho wa kunukuu
Ah wap mkuu watu wa ruvuma nawafahamu sana kwa uchawi hatar mno kule uchawi kama utamaduniUmejumuisha sana, uchawi uliopo ndani ya familia/ukoo wako ndio umefikiri mkoa mzima upo hivyo?
Nakushauri ukafikiri tena.