Karibuni Songea

Nilipita hapo wakat naenda Kigonsera sec mwaka 2016 ni mji flani hivi wa kishamba sana
Umemaliza nashangaa wangoni wanavyojisifia hapo juu

Nimekaa Wiki mbili huko kwa kishamba sana, kiwanja ni La charz tu kwahy watu wote mji uwo utawakuta hapo afu ni sehem ndogo

Mji hauna mishe mishe, mishe hadi misimu ya mazao

Hapo ukiwaondoa Wanajesh kamb za chabruma sijui Ruhuwiko na kamb zingine zile km unaenda mbinga na ishu ya makaa ya mawe panakuwa Dormant town.

Maana wanaume wa huko wanashindwa kulipa Bill wakiingya kwenye kumbi za starehe coz hawana cash.

Kama Hapo Lacharz inajaza askar na watumishi wengine siyo wenyeji na ukimuona mgeni ameingiya la charz ujue anunui bia anaingy amelewa kutoka nje.

Kuhusu totoz hatari, where you are Fetty wa mfaranyaki? demu flani anajua hatari, ila amechuja itakuwa maana anagawa vibaya mno

Kiwanja changu kilikuwa Eliza Liquor store. Nilichukua chumba sehem flan wanaita zwangendaba
 
Kama ulikubali show ya Fetty basi huyo Fetty anaishi Songea. Hapo vp
 
M
Nimeimiss songea,nilikaa peramiho mwaka 2001,nakumbuka baadhi ya maeneo ya songea kama vile ruhuwiko,lipokela ,chaburma,kigonsera ,mpitimbi, mlalo,nk. Na kila jumamosi nilifanikiwa kusali ktk kanisa kubwa la sabato hapo mjini
Mimi niliajiriwa huu Utumishi wa Umma pale Namabengo mwaka 2013. Kulikuwa kuna Kundi pale lina washirishi na waumini wasiozidi 8, yaani siku mkisali na mkasema leo kanisa limefurika ni hao watu 8.Mara nyingi tumesali 2 na hata peke yangu, na nilikuwa siachi kwenda kila Jumamosi. Hakuna cha kwaya wala nini yaani.

Sasa mtu nimetokea Mara kwenye waumini wengi, nikajisikia upweke sana. Kuna nyakati nikawa naenda kusali kanisa la Songea SDA (mjini), huko nako bado watu hawakuwa wengi kivile, japo kulikuwa na unafuu. Upekwe ukasababisha niombe uhamisho, nikaondoka. Ila leo nasikitika kwanini niliwaacha, ningekaa nao tu tukachapa injili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…