Karibuni Songea

Mie napenda sherehe za kingoni, zikipigwa zile nyimbo zetu, bas nafunga khanga kiunoni, nikianza kusasambua hapo hadi hoi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3]
 
Nakerekwa coz kwenye masherehe zinapigwa hizo nyimbo,wanacheza wenyewe
Wameharibu kuzirekodi zilikuwa zinanoga zipigwe laivu band weee🙌🏽

Ukisikia ngoma zinavyopigwa na zile vibes za walevi wa wanzuki ni 🔥
 
Weeeeee usiniambie [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulanzi mie nagema mwenyewee, mbeta natengeneza mwenyewee. Nikaa chini kunywa aaah mdogo mdogo, robo zinakata tyuuh hadi dumla 2 fyaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee we' mngoni kweli... unajua mpaka dumla?[emoji23][emoji23][emoji23] kweli gwenye hugu ni gucocastic...
 
[emoji1787][emoji3] Dah! Gwenye hugu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulanzi mie nagema mwenyewee, mbeta natengeneza mwenyewee. Nikaa chini kunywa aaah mdogo mdogo, robo zinakata tyuuh hadi dumla 2 fyaaa.
Ukija sasa inabidi nihakikishe usemayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee we' mngoni kweli... unajua mpaka dumla?[emoji23][emoji23][emoji23] kweli gwenye hugu ni gucocastic...
Ndiyo mie hapa ni gu cocastic, gwenye gu ulanzi gukiwa kwenye gu mdumla topu mie nagumaliza gwote fyaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoni Og hapa,
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila coca kumbe wangoni nao wajanja eeh? Mimi nikajua na ujanja wote huo utajuwa Mzaramo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…