Karibuni Sana Kwenye Sherehe za Vibanda 2018

Karibuni Sana Kwenye Sherehe za Vibanda 2018

Kambini nini kinafanyika au ndo mbadala wa kufunga kwa wasabato? kwanini usifunge personal mpaka uweke kambi

Enzi zile vijana rafiki zangu wasabato (pathfinder kama sijakosea) walikua wanatumia makambi kama uchochoro wa kukutana na mademu zao na mimba zilitungwa mno enzi zile
Acha upotoshaji na udanganyifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasabato wanazifuata sana amri ila hii ya kuzini imewashinda. Wako tayari kutopika au kitokula lkn chini ni moto bati. Sijui kwasababu wengi ni wapare na watu wa ziwa ?
Ayo makabila mengine uko duniani hayafanyani.Swala la kuzini ni swala la jamii nzima duniani na ukiona kitu kimekatazwa ni kwasababu kipo sasa wewe unapodhani wasabato au ayo makabila ni malaika itakua umepotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tulifaidi sana makande wakati ule nipo moshi,mpaka nikadhani wasabato wote ni wapare.
 
Nyie ndio wale waliokuwa wameweka kambi uwanja wa ndege kutaka kusafiri nje ya nchi bila nyaraka yoyote wala nauli?
 
Wadau wote wa JF Mnakakaribishwa kwenye Sikukuu za Vibanda maarufu kama MAKAMBI kwa mwaka 2018 katika mitaa ifutayo:
1. Mtaa wa Tegeta DAR ES SALAAM- Makambi yatafanyika katika Kanisa la SDA Tegeta na kujumuisha makanisa ya Bunju, Mbweni, Mabwepande,Tegeta Beach n.k
2. Mtaa wa Kinondoni DAR ES SALAAM- Makambi yatafanyika Viwanja vya Leaders Kinondoni.
Sherehe zitaanza tarehe 26/08/2018 hadi tarehe 01/09/2019.
Karibuni sana
Hivi kwa mujibu wa biblia sikukuu ya vibanda ilikuwa ni kwa waisrael tu au hadi mataifa? Je, agano jipya linasemaje kuhusu hiyo siku ya vibanda?
 
Back
Top Bottom