Hahaaaa njoo kwangu tu.....uko utakuwa kituko
ntakuja shoga tupige umbea lakini kurembwa mie akha! Napenda kutokelezea kiasili zaidi....
mh hapo ni saloon yako ipo juu
Hahahahha haya njoo tuje kuzua ila kusutwa me naogopa lol
Kusutwa suna shoga!
7......
haaaaaaaaaaah...... Shost unarembaga mazombii? Mbona wanatisha hivyo?[/QUOTE
Hahahaaha wamependeza mbona!
farkhina usisahau mimi nimekubook mapema nina mtoko wa kwenda air pambamoto...natolewa out na Simplicity. this weekend!Hahahahaha hawa wala sijawapura mimi ningewapura mimi wangekua wamependeza zaid kama wenzao au vp mimi49 na Heaven on earth
@farjhina hao sio wateja wako bana...mie weekend hii nakuja saloon
farkhina usisahau mimi nimekubook mapema nina mtoko wa kwenda air pambamoto...natolewa out na Simplicity. this weekend!
farkhina usisahau mimi nimekubook mapema nina mtoko wa kwenda air pambamoto...natolewa out na Simplicity. this weekend!
Daaah! Sijui mmejuaje, natoka kwenda saloon sasa hivi. Naenda tu kunyoa nywele za kichwani zimekuwa ndefu mpaka zinanipotezea muda kuzichana. Kesho mimi49 na Heaven on earth, saa mbili jioni tuwe tumeshawasili. Nitawakumbusha nusu saa kabla. farkhina, are u coming along with them?