We ulitaka wilaya iweje? Iwe na malls, supermarkets, hoteli za nyota tano au
Hiyo hoteli niliyotuma hapo ni kuumbua hoja yako ya kwamba wilaya nzima utatafuta sehemu ya kupoa hakuna. Sasa nimekuwekea hiyo uone, najua umejisikia vibaya baada ya kuiona hiyo hoteli sema basi tu
Kwa jinsi ulivyokuwa unaiponda Ruangwa haikuonekana kuwa Ruangwa ni sehemu ambayo ingeweza kuwa na hoteli kama hiyo, sasa hivi nakuonesha picha za hoteli unasema siyo ajenda kubwa.... mbona sasa ulisema hakuna sehemu za kupoa?
Nikikuambia akili zako fupi utanikatalia mkuu. Shida umeishi Ruangwa miaka ya tisini