Karibuni Ruangwa

Mi wa kusini lakin napachukia 7babu ya ayo Mambo ya uchawi jah akibless kule sirud Tena nakomaa apa apa nilipo
 
Tatizo mikoa ya kusini ina laana na uchawi umezidi,mnarogana sana,hayo unayoita maendeleo ukicompare na maeneo mengine ni takataka tu,kusini haitakuja kuendelea kamwe
Huu ndio ukweli ila mtoa mada ni Kama anatafuta brands na teuzi ...maendeleo haya anayosema leo yalitakiwa yawepo miaka mingi huko nyuma ...kwa mtu aliyetembea hawezi kuwa biased hivi...Ruangwa imebarikiwa Sana kwa kila kitu ardhi potential,madini ,,water source yaan ukichimba mita chache kwenda chini maji hayoo!!!

Pm anajitahidi Sana kuja jimboni kwake ..

Eliimu bado Sana
Maji bado tupo Zama za foleni
Barabara nayo bado japo inajengwa kwa kasi..
PM aendelee kujitoa tu walau wananchi wasogee kimaendeleo..
 
Upendeleo kivipi boss kwani hao wawekezaji wameshikiwa bunduki kwamba wasiende kwingine!? Mwambie Mbunge wako ajitahidi kuwavutia watamuelewa tu wala hakuna uchawi katika hili
WaTz buana hatari sana!

Inamaana haujamuelewa mtoa comment, hata kidodo alichokusudia!

Anamaanisha kwamba usijivunie sana hayo maendeleo unayoongelea kwa sababu, hayo mema unayoyaona yapo kiupendeleo zaidi.

Yasingelipatikana kwa haraka namna hiyo bila ya kudra kwa wilaya hiyo kutoa kiongozi wa kitaifa, yaani waziri mkuu.

Maeneo yote yanayotoa viongozi wa kitaifa, kumekuwa na tamaduni za upendeleo maalumu wa kukimbiza haraka haraka maendeleo sehemu zao,ili hata akitoka madarakani anakuwa alishawavusha ndugu zake.
Hiyo Ruangwa kabla ya Majaliwa kupata madaraka nani alikuwa anaielewa hata kwenye ramani imekaa sehemu gani na ina impact gani kitaifa!

Kumbuka kwamba, kiongozi huyo akitoka madarakani eneo husika husahaulika haraka ingawa panakuwa palishapiga hatua ya maana.
 
''Fanyeni kazi'' huku kwao kukistawi kwa upendeleo hii ni hatari sana kisiasa na kitaifa maendeleo muhimu lakini si kwa sababu ya fursa ya upendeleo,taifa hili limefika hapa kwa miiko ya kiungozi.Sasa hivi kumshika mkono kipofu wakati wa kula ni kawaida tena hata wenye kuona wanashikwa!
 
Kalaga baho shehe naona unajitekenya na kucheka mwenyewe...

Kwanza kuhusu uteuzi na brand unazungumzia wapi humuhumu JF au? Maana tupo jf kumbuka siyo mkutanoni hapa

Pili kuhusu hicho unachomsapoti mwenzako mbona nimeshakielezea humo ndani kwamba inaendelea kwa kasi kwa juhudi za Mbunge

Tatu juu ya kucompare Ruangwa na kwingine kwani me nimesema kupo kama Hon kong? Someni kwa uelewa Acheni kukariri

Nne maswala mengine yote umejijibu mwenyewe chini
 
Ile Lami imemalizika pale mjini? Maji bado utata kupatikana!..anyways ..hali ya hewa nzuri! mengine yanavumilika tu!
Hali ya hewq kvp mkuu, kwwn kuna joto kali kama misri au barki kal kama milima ya nepal. Welcm boe kuzur san kule
Hovyooooo
upendeleo kvp mkuuu
Ye n mbunge wa kule ,anatekeleza maombi ya wananch kam wabunge wengne. Au kwen mbunge wen atejelez . Kam atekelez polee sana
 
Ruangwa inapokonya miradi ya wilaya zingine ndani ya mkoa. Miradi Mingi ya kimaendeleo iliyopangwa kufanyika katika wilaya zingine za Lindi hiyo mirdi inahamishwa inapelekwa ruangwa. Leo hii manispaa ya Lindi ina shule moja ya advance Ila ruangwa ina shule 6 za advance hii inatokana na kuhamisha miradi ya mabweni kama 40 na kupeleka ruangwa . Miradi ya taa za barabarani ambazo zilitakiwa kiwekwa na world bank manispaa wamehamisha mradi umeenda ruangwa leo hii manispaa ina taa 30. Ila ruangwa Wana taa 450 barabarani. Leo hii miradi ya soko la kisasa .stendi ya kisasa inapelekwa ruangwa. Soft loans zote zinaenda ruangwa . Uneven distribution of resources haitaisha Tanzania
 
Do you have a concrete evidence to prove what you are talking about?
 
NADHANI KATIKA KUCHAGUA VIONGOZI WETU TUWE TUNAANGALIA PANDE NYINGI SANA MTU MBINAFSI HATUFAI KABISA KWA SABABU MBINAFSI HUJITAJIRISHA YEYE BINAFSI NA SI WALIOMCHAGUA UKIMPATA KIONGOZI NAYE AKAWA ANALETA MAENDELEO JIMBONI KWAKE NA KWA WATU WAKE KWA JUMLA HAKIKA HUYO NDIYE KIONGOZI SAFI, hongera sana mb,kassim majaliwa
 
Nafikiri mambo mengi ya kimaendeleo pia hufanyika kutokana na ukubwa wa eneo husika zipo wilaya ndogo sana za wastani na kubwa sana sasa kwa hapa mahitaji yake ni lazima yatofautiane kuzingatia ukuwa wa wilaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…