Karibuni nyumbani!

Karibuni nyumbani!

Daraja la hivyo uvuke sana sana hatua 15, sasa hilo hata mwisho wake hukuoni! Labda mwenyeji uwe unagawa bangi kwa kila mpitaji...

Hahahahahaaaa!
Ukumbuke kuna vichwa ukivipa bange ndio unavitia upofu! Anaweza kujiona kwa lami hapo as a result anadondoka mzima mzima! Chezea bange weye!
 
Basi nilijua bange inamfanya mtu afanye vitu ambavyo kwa akili yake ya kawaida asingeweza kufanya...Kwa hiyo nikajua ingefanya kama huyo aliyeona uwanja wa mpira...
 
Bange haitabiriki inategemea na kichwa!
Kama kichwa yako iko poa unaweza hata kuwa mvumbuzi unapostua, but kama una kichwa kanga unaweza kufanya manyago hata kuku akakushaa!
...
Karibu kwa pati ya jf inayokuja mwezi wa sita hapo! Kama uko Dar nitatesti kichwa yako!
 
bada kama unaniambia njoo chukua bilioni kadhaa hapa katikati ya daraja siji ng'oooooo duh
 
Aaah..wapi...hata kama kila mgeni anapewa dola elfu 50 kama asante ya kuhudhuria. Tuleteeni picha tu jinsi mlivyofaidi.
 
Hahahahahahaaaa! Usiogope kashesho! Kama wewe sio kibonge sana nitakubeba mgongoni kukupeleka na kukurudisha! Istooshe, nitakuambia ufumbe macho!
Karibu kwangu kashesho!
 
Aaah..wapi...hata kama kila mgeni anapewa dola elfu 50 kama asante ya kuhudhuria. Tuleteeni picha tu jinsi mlivyofaidi.

Khaa! Usiwe mchoyo kiasi hicho Dina! Au wewe ni anti social?
Karibu tujumuike pamoja, tule bata hadi kuku waone wivu! Nitakua mwenyeji wako!
 
hahaha, we mtu kuja kwetu kwanza

Hahahahahaaa!
Bulldog kuja kwenu haina shida yoyote wala usijali! But King majuto alisema "mtu huondoa mwiba wa makalioni kwanza ili akae kitako na kuutoa mwiba wa mguuni!"

Kwani na kwenu kuna njia mbaya Bulldog?
 
Back
Top Bottom