Karibuni nyama choma wapendwa!!!

duh! nliimiss hii? Ila wewe si tulikubaliana unibip ikiisha kwiva Young Master sasa ona, naishia kula picha
 
Last edited by a moderator:
Kula kwa wingi hii kitu ni kujiandalia maradhi huko mbeleni...
 
Huwa najiuliza hivi NYANYA za siku hizi zikoje?
Uivaji wake zinakuwa njano!!!
Hebu wataalam mtujuze hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…