mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,568
- 10,624
Kama MV NYERERE?Linafanya kazi hivyo hivyo KIBISHI
Kama MV NYERERE?Linafanya kazi hivyo hivyo KIBISHI
Naona unatumia mikoa
Hilo scrap ndio unaliita nyara?huo ni mtego wa kifo mkuuUnataka kuuza nyara za serikali mkuu?
tani ngapi hilo zaga hapo baharini ?
Dah mkuu unapajua vizuri hayo maeneo nilikua juzi hukoMkuu naona upo Lindi manispaa maeneo ya Lindi Oceanic Resort, katika picha kwa juu naona majani ya mvinje... Daaah mkuu soon nitakuwa hapo kikazi, nikifika nitakutafuta , hilo meli wakapime screpa tu
Leo ilibaki hivii nije LindiLindi hii mkuu
Af uko wapi asubuhi hiii? Tuonane baadaeLeo ilibaki hivii nije Lindi