donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Mkuu naona upo Lindi manispaa maeneo ya Lindi Oceanic Resort, katika picha kwa juu naona majani ya mvinje... Daaah mkuu soon nitakuwa hapo kikazi, nikifika nitakutafuta , hilo meli wakapime screpa tu
Lindi hii mkuumkuu hilo chuma chakavu hapo ni lile la ziwa tanganyika?
Aisee uko sahihi kabisa mkuuMkuu naona upo Lindi manispaa maeneo ya Lindi Oceanic Resort, katika picha kwa juu naona majani ya mvinje... Daaah mkuu soon nitakuwa hapo kikazi, nikifika nitakutafuta , hilo meli wakapime screpa tu
Unataka kuuza nyara za serikali mkuu?tani ngapi hilo zaga hapo baharini ?
c wamelitelekezaUnataka kuuza nyara za serikali mkuu?
Linafanya kazi hivyo hivyo KIBISHIc wamelitelekeza
Mvinyo ndio ulevi ama?
Kwann mkuu koo limezoea ngumu??dah!dry wine zilinishinda jaman ila metaman
Utashtakiwac wamelitelekeza
sweet thngs!sweet wineKwann mkuu koo limezoea ngumu??
tpo weng aiseeDodoma wine ilishanishinda kwakweli
Kuna siku nilinunua aiseh nilitamani kwenda kudai hela yangu.tpo weng aisee
😛😛😛😛Kuna siku nilinunua aiseh nilitamani kwenda kudai hela yangu.