Karibuni Muheza makamanda wote Tanzania

Karibuni Muheza makamanda wote Tanzania

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
886
Reaction score
206
Chama cha demokrasia na maendeleo kinapenda kuwatangazia makamanda wote wa CHADEMA toka pempe zote za Tanzania waje Muheza waone CHADEMA inavyokua kwa kasi lakini pia waje kuongeza nguvu ya kuijenga CHADEMA Muheza.

Tunapokea makamanda kote nchini waje tushirikiane kuijenga CHADEMA Muheza yenye kata 33,vijiji 135 na vitongoji 521.

Tunashukuru kupata piki piki ya chama na vipaza sauti vyake vinatupa raha ya kujenga chama.
 
huko muheza mtatuharibia vijana wetu waanze kunywa viroba na kuanza kufanya maandamano.taadhari vijana kaeni mbali na chadema
 
😛eace:

Magamba yakisikia:llama: habari njema kama hizi yanakosa usingizi.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kinapenda kuwa tangazia makamanda wote wa chadema toka pembe zote za tanzania waje muheza waone cdm inavyo kua kwa kasi lakini pia waje kuongeza nguvu ya kuijenga cdm muheza,tunapokea makamanda kote nchini waje tushirikiane kuijenga cdm muheza yenye kata 33,vijiji 135 na vitongoji 521,twashukuru kupata piki piki ya chama na vipaza sauti vyake vinatupa raha ya kujenga chama

pamoja kamanda Maghembe..harakat zako ni njema ktk chadema ni msingi
 
baada ya kamanda riziki Maghembe kuonyesha jinsi chadema inavyokua muheza najua ccm mmechukia sana..ukweli ni kwamba jimbo la muheza linarudi kwa wananchi sasa baada ya miaka mingi ya utumwa ya mbunge kilaza Wa sasa mtangi.
mtangi uliahidi maji muheza mpaka Leo huonekani watu wanateseka...hukuwatembelea waliokupa kura hata Mara moja tangu uwe mbunge. najua umelikatia tamaa jimbo hili na hurudi tena wala chama chako.
chama kinakua kwa kasi sana na wadau wengi wamejitoa kusaidia harakati hapa muheza....sasa jimbo la muheza nalitangaza rasmi kuwa kambi kuu y cdm mkoa Wa tanga!
 
Hongereni wanamuheza kwa kujitambua, maana ccm imepuuza mkoa wa tanga! Bandari ya tanga haizungumzwi tena na serikali ya jk!
 
Kina kamanda lisu, msigwa na wengine wamesikia, nadhani watatia timu!
 
Kepteni john hataweza kwenda msituni, sasa ni muflisi, anasali kutwa bunge la katiba lirejee ajikimu, lulu kamshawishi akope benki na aweke dhamana shule ili wakajirushe
 
chama cha demokrasia na maendeleo chadema kinapenda kuwa tangazia makamanda wote wa chadema toka pembe zote za tanzania waje muheza waone cdm inavyo kua kwa kasi lakini pia waje kuongeza nguvu ya kuijenga cdm muheza,tunapokea makamanda kote nchini waje tushirikiane kuijenga cdm muheza yenye kata 33,vijiji 135 na vitongoji 521,twashukuru kupata piki piki ya chama na vipaza sauti vyake vinatupa raha ya kujenga chama
uongo mwingine hauna hata maana .muulize slaa swali aliloulizwa mheza wkt wa kampeni ya urais hadi leo analiota
 
Wakati wao wanafarijiana hapa jf kuwa CDM inakufa,sisi makamanda wa ukweli tupo field tunamwaga elimu ya uraia
 
Back
Top Bottom