Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Jul 1, 2012 #21 Ndoto za mchana.
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Jul 2, 2012 #22 Katavi said: Ndoto za mchana. Click to expand... lakini ni ndoto!!
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 Jul 2, 2012 #23 Hiyo 2050 ikifika huo mliba bado utakuwa na mbeho?
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Jul 5, 2012 Thread starter #24 karibuni jamani viwanja vipo.msiogope wale mnaosema ni ndoto mko sawa kwa sababu hakuna kitu kinachofanyika bila ndoto hata wewe unayesoma hapa usingezaliwa yaani wewe ni ndoto za mtu.
karibuni jamani viwanja vipo.msiogope wale mnaosema ni ndoto mko sawa kwa sababu hakuna kitu kinachofanyika bila ndoto hata wewe unayesoma hapa usingezaliwa yaani wewe ni ndoto za mtu.
g.n.n JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 407 Reaction score 49 Jul 5, 2012 #25 georgeallen said: Huna kazi?????????????????????. Wagonjwa wanataabika huku wewe unaleta mzaha. Click to expand... we boya nini?
georgeallen said: Huna kazi?????????????????????. Wagonjwa wanataabika huku wewe unaleta mzaha. Click to expand... we boya nini?
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Jul 5, 2012 #26 Hahaaaaaa si ni bora nkikaishi ambako yameshajengwa kwa kuwa sijui kama ntafika miaka hiyo
P Pejokiss JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 248 Reaction score 187 Jul 6, 2012 #27 kila kitu kinawezekana kama watanzania wote tutaweza kuamka na kufanya kazi kwa bidii na kusimamia vzuri maliasili za nchi.
kila kitu kinawezekana kama watanzania wote tutaweza kuamka na kufanya kazi kwa bidii na kusimamia vzuri maliasili za nchi.