wala sina undugu na pacha wako mie nipo pekee yangu
kuna mkutano wa chama gani hapo mpaka liwepo biriani hivyo aise
Tuambie na kama baada ya msosi kuna upigaji wa kura mkuu Konaball
ukiona mitu mingi jua kuna kutano ya chadema. ukiona pilau mingi jua kuna chaguzi ya ccm
Debe tupu weka dengu... kwenye kuku wengi chinja bili tatu....
mkuu kwema? mambo yanakwendaje??
ukiona mitu mingi jua kuna kutano ya chadema. ukiona pilau mingi jua kuna chaguzi ya ccm
Debe tupu weka dengu... kwenye kuku wengi chinja bili tatu....
mkuu kwema? mambo yanakwendaje??
karibuni msosi wana JF WOTE
Wenye kuvaa suruali fupi msisogelee, kwani hiyo nyama iliyonona ni ya KITIMOTO!!!