Karibuni Msosi Swafiiiiii!

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,135
Ukiangalia kwa haraka haraka unaweza ukafikiria ni wali kuku but ...mh!











 
Kwani hii ni nini? naona kama wali kwa kifaranga cha kuku.
 
Mambo ya wali panya hayo hii itakuwa Zambia tu hahaha!
 
Nyama ni nyama ya kuku nyama! ya ndege Nyama! ya Panya nyamaaaaaaaaaaaa.
 
aaaaHa ahahahaaaaaaaaa huyo panya daaah! kazi kwenu wala panya
 
Eti wenyewe wana jina zuuuriii, wanawaita CHAMAKI NCHANGA, mtu kwao jamaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…