Nimeona tu nimeanza kutapika!Ndizi ng’ombe mkuu Old story: lakini sio kesiView attachment 1139961
Aaaah Nifah: unaniangusha my wakati wewe ndio mpishi na maandalizi yote wewe ndio muhusika mkuu leo hii unanibwaga Mungu anakuona[emoji182][emoji182][emoji8]🥰
Asante ntakaribia sabasaba hiiKukaja Kununu: mambo ya shemeji yenu mama Sakapara: hayo karibu sana mpwa
ndizi nyama na supu ya pweza weka kapilipili na limao kwa mbaliiOooh karibu mpwa mpaka mihogo ya kuchemsha na pweza wapo Rijali jandoni:
ahsante sanaRijali jandoni: karibu mkuu
daa!!!
safi mkuu misosi muhimuMtu ni afya tusiwe wavivu tutunze afya zetu tule chakula bora....
Nyama maziwa mayai ya kuku wa kienyeji na matunda....
matunduizi:
Hayo yote ndiyo wanakula wanaume wa Dar,, na mimba nafikri ni dada yako!!! [emoji33]Una mimba changa mpwa pole sana Mungu akusamehe
Kumbu kumbu zinaniambia hii nilikula 4 yrs ago...