Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mkuu nazi kama si tunda ni kitu gani?Mkuu hadi kitale cha nazi!
Nazi nalo ni tunda?
Mkuu nazi kama si tunda ni kitu gani?
Mkuu hadi kitale cha nazi!
Nazi nalo ni tunda?
Mkuu nazi kama si tunda ni kitu gani?
Hapo hakuna nazi, hayo ni madafu, nazi sio tunda ni kiungo cha mboga
Sijawahi kusikia mtu akisema "ule ni mdafu" badala yake mara zote nimesikia "ule ni mnazi".Hapo hakuna nazi, hayo ni madafu, nazi sio tunda ni kiungo cha mboga
am stuck there????elaborate pleaseNazi imetolewa kunye kundi la matunda maana matunda yaliifungulia mashtaka kuwa yenyewe haina msimu
am stuck there????elaborate please
tunda gani hilo lililonyefukanyefuka MziziMkavu....liko karibu na hizo ndizi za green........?
Mkuu mzizi mkavu nipe faida za water melon,Japo in summary napenda sana ilo tunda?
Teh teh teh!mkuu umenichekesha sana!Nazi imetolewa kwenye kundi la matunda maana matunda yaliifungulia mashtaka kuwa yenyewe haina msimu