L Levictus JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 646 Reaction score 524 Sep 5, 2016 #81 Bitoz said: View attachment 394290 Click to expand... Halafu nasikia huwa wanavuliwa kambale wakubwa balaa humo
Bitoz said: View attachment 394290 Click to expand... Halafu nasikia huwa wanavuliwa kambale wakubwa balaa humo
The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,581 Reaction score 7,252 Sep 5, 2016 #82 Beach kama hizo club ya yanga ndio wazoefu nazo
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,822 Reaction score 126,643 Sep 6, 2016 Thread starter #83 Levictus said: Halafu nasikia huwa wanavuliwa kambale wakubwa balaa humo Click to expand... Ndio Kambale huishi kwenye majitaka lakini siku hizi maisha yamebadilika
Levictus said: Halafu nasikia huwa wanavuliwa kambale wakubwa balaa humo Click to expand... Ndio Kambale huishi kwenye majitaka lakini siku hizi maisha yamebadilika
L Levictus JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 646 Reaction score 524 Sep 6, 2016 #84 Bitoz said: Ndio Kambale huishi kwenye majitaka lakini siku hizi maisha yamebadilika Click to expand... Hao kambale waliwe na wazoefu. Mimi nikitaka kambale naenda kununua wabichi kule Ruvu darajani
Bitoz said: Ndio Kambale huishi kwenye majitaka lakini siku hizi maisha yamebadilika Click to expand... Hao kambale waliwe na wazoefu. Mimi nikitaka kambale naenda kununua wabichi kule Ruvu darajani
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,822 Reaction score 126,643 Sep 6, 2016 Thread starter #85 Levictus said: Hao kambale waliwe na wazoefu. Mimi nikitaka kambale naenda kununua wabichi kule Ruvu darajani Click to expand... Vitu vichafu ndo vitamu mfano bata Tunakula kitoweo sio chakula chake [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Levictus said: Hao kambale waliwe na wazoefu. Mimi nikitaka kambale naenda kununua wabichi kule Ruvu darajani Click to expand... Vitu vichafu ndo vitamu mfano bata Tunakula kitoweo sio chakula chake [emoji1] [emoji1] [emoji1]
L Levictus JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 646 Reaction score 524 Sep 6, 2016 #86 Kama tunavyofaidi kitimoto Bitoz said: Vitu vichafu ndo vitamu mfano bata Tunakula kitoweo sio chakula chake [emoji1] [emoji1] [emoji1] Click to expand...
Kama tunavyofaidi kitimoto Bitoz said: Vitu vichafu ndo vitamu mfano bata Tunakula kitoweo sio chakula chake [emoji1] [emoji1] [emoji1] Click to expand...
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,231 Reaction score 15,643 Sep 6, 2016 #87 Kuna kipindi kuna vijana walitumbukia hapo na kufariki...
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,822 Reaction score 126,643 Sep 6, 2016 Thread starter #88 muhomakilo jr said: Kuna kipindi kuna vijana walitumbukia hapo na kufariki... Click to expand... Hayo matukio yapo sana wengine huua mtu kisha kumtumbukiza humo kuficha ushahidi
muhomakilo jr said: Kuna kipindi kuna vijana walitumbukia hapo na kufariki... Click to expand... Hayo matukio yapo sana wengine huua mtu kisha kumtumbukiza humo kuficha ushahidi