Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,488
- 100,883
Mpwa si ulikua unatafuta Material Wife, huyo hapo ni mwana JF mwenzetu, fungua hio link ni ya JFSijaclick link naogopa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahaha Mpwa acha bhana kuwa na Ukongwe forbia hahahahahahaa, hebu nikumbushe ukongwe unaanzia lini? Mimi wa March 2008 tu, juziMaana kuna vihujuma vya wakongwe nilifikiri umenitupiajiini
Haina noma mkuu
Mabibo Beach kuzuri
Beach front, nimepapenda hapo. Viwanja bei vipi hapo?
Bonge la beach....upepo mwanana...kiingilio bure
Amazing beach in Joto City
Rais wa Mabibo
The Bitoz
🙁😱Maelewano tu
Uwe na uwezo wa kuvumilia harufu ya kinyesi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu asante ,Ni kweli kambale wapo View attachment 374520
Karibu Mabibo Beach ule kambale
Watu wanaoishi hapo ni roho ngumu balaa. Siku ya kwanza kupita hapo nakuta akina mama wanapika chapati na vitumbua asubuhi, hawana hofu. Harufu ni kali balaa. Nadhani ilikuwa ni 2008 au 2009 kupita hapo. Sifikirii kabisa kupita hukoMaelewano tu
Uwe na uwezo wa kuvumilia harufu ya kinyesi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hizi wamwkarabati na kujenga uzioWatu wanaoishi hapo ni roho ngumu balaa. Siku ya kwanza kupita hapo nakuta akina mama wanapika chapati na vitumbua asubuhi, hawana hofu. Harufu ni kali balaa. Nadhani ilikuwa ni 2008 au 2009 kupita hapo. Sifikirii kabisa kupita huko