Hahaaaaa..
Yakwetu tuachie sisi
ndio navyopendaOmba radhi mkuu....
U llook like a Dunderhead
Sorry I didn't know thatWaste Water Ponds Mabibo
Leo kuna mvua so Kimba zinaongezeka subiri mvua ziishe
Kuna wapiga roba wa nguvu
Harufu tushaizoea...kwetu sisi sio issueKiwanja cha nyumbani hiko miaka hiyo...huo uzio hawajaurekebisha hata leo?hatari sana nakumbuka mwaka 2006 walitumbukia watu wawili mtu na shemejie wote wakafa kisa jamaa kampiga mkewe ambae ni dadake Mshkaji.kuna siku nilipita pale pamezidi kutoa harufu sio kama zamani.
Nitakushtua
nipo njiani. nakuja na boya LA kuogelea kabisa so jiandae huko
Kabla hujaanza kuogelea piga kwanza dozi ya kipindupindu, sindano za tatanasi, na kinga ya minyoo.