Karibuni Mabibo Beach

Naona umeweka kiutani zaidi lakini ni sehemu nzuri sana ya kuendelezwa hata kuwa mfereji mrefu na kuutumia kama moja ya usafiri wa haraka.

Wananchi wangekuwa na boat zao na kwenda kwa umbali zaidi bila kutumia mabasi, well kwetu inakuwa kama ndoto kwa baadhi
 

Waste Water Ponds Mabibo
 
Mkuu panaitwa MABIBO BEACH
Sijakosea
I'm serious
 
Ukitaka Kujua Kiwango Cha Utoaji Wa Haja Kubwa Kwa Wana Dar es Salaam Fanya Ziara Yako Hapo Upate Experience.
Hapa mavi ni kiduchu tofauti na Buguruni mabwawani
 
Hapa mavi ni kiduchu tofauti na Buguruni mabwawani

Kama Hapo Mavi Ni Kiduchu Hizo Nyasi Zingekuwa Zinakua Upesi Hivyo Na Maji Hayo Kubadili Rangi Na Kuwa Meusi Ya KUTUKUKA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…