Karibuni lunch

Karibuni lunch

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
7,354
Reaction score
4,772
Hii tunaita "mbumbo"
 

Attachments

  • 1400149634269.jpg
    1400149634269.jpg
    40.1 KB · Views: 346
jamani wewe muumbo huo umeupata wapi?? chakula cha kwetu Uganda jamaaani wewewee
 
Du ya wapi hiyo mkuu? Ni viazi vya kuponda na karanga ya kusaga au ni kitu gani?
 
Du ya wapi hiyo mkuu? Ni viazi vya kuponda na karanga ya kusaga au ni kitu gani?

Hizo ni ndizi mkuu... Na pembeni ni karanga, wenyewe wanaita "nsanyuse"
 
Hapo bila mishkaki ya kurashia rashia juu, hujanipata. Najidai 'nimefunga'
 
ndiyo wapi hiyo nielekeze, kitu kina pikwa bila maji na hapo ndiyo utajua tofauti ya waganda na wahaya

Masaka, nyendo. Kuna ka restaurant karibu na Dembe Lyo International.... Wanapika vizuri sana.
 
Masaka, nyendo. Kuna ka restaurant karibu na Dembe Lyo International.... Wanapika vizuri sana.

dah!!! mi nilijua kitu cha dar hichooo mimi niko huku Tz nasaka ugali wa watoto ila kwetu ni Mukono
 
dah!!! mi nilijua kitu cha dar hichooo mimi niko huku Tz nasaka ugali wa watoto ila kwetu ni Mukono

Ooh, siunaweza pika mwenyewe lakini? Mimi najipikiaga nikimiss mbumbo na lumonde,.. Hasa hasa katogo kila two weeks napika..
 
Back
Top Bottom