Karibuni lamwidebe...

eti kuna watu wanajifanya hawajui hiyo kitu wakati ndo mboga yao kwao (mikoani)
 
Huu sasa ni Ulafi.... ptuuuu ..hao sili hata kwa fimbo Aise
 
Hilo jina ni la kule kijijini kwetu nikadhani kuna mtu katukumbuka kumbe daah.

Haohao chavichavi nawakumbuka kipindi nasoma chekechea kwa mwalimu mjaluo, Mungu amrehemu, chini ya mwembe. Chavichavi walinitambaa kwenye dogidogi langu narudi nyumbani nimevimba mwili nawashwa mwili mzima.
Halafu nakuta baba kanunua tv siku hiyo, JVC Kseries, basi naangalia tv na ile mijivu mwilini kama msukule.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…