Interior Architect
Member
- Jan 7, 2019
- 21
- 15
Mkuu mimi naigiza pia naimba (underground). Kwenye blender niko katika level ya wastani. Ila huwa natamani nipate watu tujiunge tutengeneze hata filamu moja ya animation.I think kwa bongo kama kweli umefikia advanced level unaweza piga ela sana ukiunaganisha na kipaji cha uchekeshaji na uigizaji.
Courtesy of miamiatz
Animation mngeiingiza kwenye maigizo mngepiga hatua sana. Kikubwa ni kuendelea kujifua kwenye animation.Mkuu mimi naigiza pia naimba (underground). Kwenye blender niko katika level ya wastani. Ila huwa natamani nipate watu tujiunge tutengeneze hata filamu moja ya animation.
Moja ya products zangu..View attachment 1069688
Sure mkuu, sema 3d changamoto yake Kubwa kwa watu kama sisi ni kwenye Ku render. Unaweza kutengeneza kazi nzuri ila ukashindwa kurender.Animation mngeiingiza kwenye maigizo mngepiga hatua sana. Kikubwa ni kuendelea kujifua kwenye animation.
Japo adsense hailipi kivile ila animation videos zikiwa za vichekesho unaongeza viewers na unajenga brand inayoweza kukusaidia kupenyeza bidhaa zingine humo ndani.View attachment 1069701
Courtesy of miamiatz
Mimi natumia blender na nafanya 3d just for fun coz sijajua namna ya kufanya inilipe. Tutakuja.