Paschal Ruta
Member
- Jul 16, 2016
- 42
- 27
Napenda kuchukua nafasi hii kutangaza kuwa ninaandaa Free Workshop ya siku moja inayoitwa 'Introduction to 3D Animation and Visual Effects'
Ratiba ya Workshop hiyo itakuwa kama ifuatavyo:
- 2D vs 3D - Let's clear the confusion
- Why do we do Visual Effects? What exactly are Visual Effects? The answer to this question will surprise you.
- What does it take to be a 3D Animator and/or a Visual Effects Artist? There is room for everyone, even you.
- Relationship between 3D Animation and Visual Effects.
- 3D Animation Workflow - Quick Breakdown from Modeling to Final Rendering
- Visual Effects Workflow - Quick Breakdown
- Recommended software you need to be good at
- Equipment and Tools you need to be familiar with
- Building a strong local Community of Artists - A Short Discussion
- Conclusion
Workshop hiyo itafanyika Jumamosi 13/04/2019, Nafasi Art Space iliyopo Mikocheni nyuma ya ofisi za ITV kuanzia 9:00 am.
Tafadhali wataarifu wengine ambao unadhani wanaweza kufaidika na mafunzo haya.
Kama ungependa kushiriki katika Workshop hii, unaweza kutuma jina lako na ujumbe mfupi wa 'NITASHIRIKI' kwa namba 0762-688-222 kwa text ya kawaida au kwa WhatsApp. Unaweza pia kutuma kwa email info@natronstudios.com.
Ni muhimu sana kujiandikisha mapema.