Hahahhaha ukimaliza hapo ukienda bungeni kujibu swali lazima utajibu kwa mapozi sana kama sijui mbunge nani vile.... kjule Lushoto hio ni pombe aiseeee.

Hii kitu balaa, imemixiwa na ka ndimu kidogo ladha madhubuti kabisa. Pande za mwenge nakiete hapa Kuna jamaa anauza aisee ni tamuu....!!!! View attachment 350586