Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 825
- 1,630
[emoji444] Mwanza oh mwanzaaaa...
Mwanza nitarudi tenaaa...
[emoji444] Mwanza mji mzuri....
Mwanza nitarudi tenaaa...
[emoji444] Wenyeji wa mwanza ni wasukuma...
sukuma waa, sukuma waaa..
[emoji1489]
[emoji443]Orchestra matimila.
Goma la Remmy OngalaHii ngoma aliimba komando hamza kalala kama sijakosea
Remmy Ongala+ Orchestre Super matimilaGoma la Remmy Ongala
SkankaaWhat kind of weed you smoke?
Ndy karibu kuinvestIla Mwanza pako poa kibiashara kweli?
Hahahahaaa karibu Tena rock cityNilienda pale Villa Park, nikaagiza niletewe lunch. Daaah, nikaletewa bonge la samaki sato (mzima mzima) wa kuchoma na dona, na mazagazaga mengine kibao. Sasa ukitaka kuujua utamu wa sato, anza kula kichwa, halafu ndio unashuka chini. Jamani sato ni mtamu, mimi sio mlaji wa ugali, lakini siku hiyo nilimaliza ugali wote! Sasa baada ya kumaliza, nikajua inakuja bonge la bili, nikawa na wasiwasi! Inakuja bili, kumbe ni shs 12000/= tu, nikalipa, then nikasepa na kwenda kiwanja cha Bundesliga (maeneo ya Buzuruga). Nakumbuka nilienjoy sana kwa wiki mbili nilizokaa Mwanza. Mwanza patamu!
Yes unajua wengi hawapajui Ila wanapotoshanaSafi kabisa home boy ....lazima tupasifie kwetu [emoji1434]