Huo ni ugali wa mtama ukila unanenepa ndani kwa ndani,una nguvu sana huo msosi hasa ukiula na sato chukuchuku,ukila mchana mpaka kesho kama ni mpenzi wa konyagi utazipeleka kinoma hakuna myumbo hapo
Inaelekea hapo wamekwenda kwa wakwe watarajiwa...sasa wakimaliza vyakula hivyo hawapati mke kamwe...Yaani mke aende kwa mwanamume anayekula chakula kama Simba???