Karibuni Ikulu

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
1381902_343492592454414_285644242_n.jpg
 
ungeweka ya chadema hapo wangesema huyo ni mtanzania mzalendo! ila upande wa pili tunatoa kebehi na matusi
 
ungeweka ya chadema hapo wangesema huyo ni mtanzania mzalendo! ila upande wa pili tunatoa kebehi na matusi
Sikiliza obama wa bongo. Unaandika kana kwamba kulikuwa na picha mbili:moja ya chadema na ingine ya ccm, halafu yeye kwa makusudi akachagua kuweka ya ccm! Haikuwa hivyo ndugu.Anachotaka kuonesha hapa ni kwamba kuna watu hata wakiwa chooni wanaiwaza ccm. Ni hivyo tu!
 
Last edited by a moderator:
'CCM ni kama tambara la kusitiri mlango wa choo'...hiyo ndio tafsiri niipatayo nikitazama picha hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom