Karibuni Ghetto, Masela mnasemaje?

Karibuni Ghetto, Masela mnasemaje?

LexAid

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,931
Reaction score
774
295555_621465271201009_31772839_n.jpg
 
mkuu hilo getto lako ukifumaniwa huna pa kukimbilia!!
 
ukifumaniwa si unaruka ndani ya maji?? Mpaka atafute nyumba nzima umeogelea hadi kwenye shore umepanda basi kwenda mwanza
 
Haya kama sio makazi ya popo sijui???
 
Kwa nyumba hiyo cha kwanza lazima ujue kuogelea vizuri.
Anaetaka kuja kwako kama ni kufumania nae lzm ajue kuogelea.
 
Ukiingia na fumaniuzi tarajiwa unatoa ngazi tu
 
Jamani napenda kufahamu! Huo utamaduni uko nchi gani!!
 
nikikufumania ukajificha naweka granade kwenye kiuno cha huo mwamba halafu nakuhesabia mpaka tatu usipojitokeza jibu utalipata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom