Karibuni dinner kwa ameline leo jamani

Karibuni dinner kwa ameline leo jamani

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
[h=3]DINNER TIME LEO NI KWA AMELINE MSIKOSE WADAU WOTE WA JF!!!!![/h]
​
Haya wadau leo usiku msosi ndio ushapakuliwa, ila wewe mdau jipakulie uwezavyo na kingine beba uone jinsi gani ameline anawajali jamani ,!!!!!USISAHAU KULA MBAKISHIE BABA!!KULA MBAKISHIE BABA!!!! KULA MBAKISHIE BABA!!!
 
kama kuna anayetaka kupakuliwa namkaribisha
 
Naskia Ndugu zangu akina fulani kule Rock city wamegoma kuchinja kitimoto, matokeo yake na wale ndugu zangu nao wamegoma kununua nyama.....hahahaaaa vioja haviishi mwaya
 
Mi nimeandaliwa "DINNER" yangu ndio namalizia malizia hapa JF nikale nilale mie
 
Naskia Ndugu zangu akina fulani kule Rock city wamegoma kuchinja kitimoto, matokeo yake na wale ndugu zangu nao wamegoma kununua nyama.....hahahaaaa vioja haviishi mwaya

mmmh makubwa hayo sasa,,
 
Mi nimeandaliwa "DINNER" yangu ndio namalizia malizia hapa JF nikale nilale mie

pamoja na kuwa umeandaliwa lakini alieandaa ni mwingine bhana sio mm, so we angalao ooonja! tu sisi watanzania tukikaribishana lazima unywa hata chai then unabakisha sehemu ya kuweka cha kwa mama kidogo
 
DINNER TIME LEO NI KWA AMELINE MSIKOSE WADAU WOTE WA JF!!!!!


​
Haya wadau leo usiku msosi ndio ushapakuliwa, ila wewe mdau jipakulie uwezavyo na kingine beba uone jinsi gani ameline anawajali jamani ,!!!!!USISAHAU KULA MBAKISHIE BABA!!KULA MBAKISHIE BABA!!!! KULA MBAKISHIE BABA!!!

Hii ni kiboko kwa watoto wa Temeke wanaopenda kukimbia na masufuria ya pilau!!!
 
Back
Top Bottom