Karibuni chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

Karibuni chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

Nemes johnson

Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
35
Reaction score
11
Wapendwa zimebaki siku tano mwisho wa kupokea wanafunzi wanao apply kwa certificate hadi degree so fanyeni budi mwisho tar 30/8 ingia www.mnma.ac.tz ujisajili ada kitonga tyuuuuu!!!

Sema kama kuna chuo bado kinadahili wanafunzi tujulishane hapaaa namba za benk 01506210000 jina MNMA DSM campus fanya fasta tupate wote[emoji50]

b73d292b25fa6ee9c9b1726705d4453c.jpg
 
Nilikuwa nataka kuapply hapo sema mfumo wenu sio rafiki kabisa ni mgumu sana watu wengi wameacha hichi chuo kwa ajili ya mfumo wa kuapply.
Wangeingia mifumo ya vyuo vingine kwani ni rafiki sana kukamilisha kuomba

Sent from my TECNO S3+ using JamiiForums mobile app
 
wapenda zimebaki siku tano mwisho wa kupokea wanafunzi wanao apply kwa certificate adi degree so fanyeni budi mwisho tar 30/8
ingia www.mnma.ac.tz
ujisajili ada kitonga tyuuuuu!!!
sema kama kuna chuo bado kinadahili wanafunzi tujulishane apaaa
namba za benk 01506210000 jina MNMA DSM campus
fanya fasta tupate wote[emoji50]
b73d292b25fa6ee9c9b1726705d4453c.jpg
Chuo ni kizuri kwa mazingira ya kujisomea lakini miundo mbinu Mibovu hostel zipo mbali na za ndani hazitoshi pia uongozi ni mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nataka kuapply hapo sema mfumo wenu sio rafiki kabisa ni mgumu sana watu wengi wameacha hichi chuo kwa ajili ya mfumo wa kuapply.
Wangeingia mifumo ya vyuo vingine kwani ni rafiki sana kukamilisha kuomba

Sent from my TECNO S3+ using JamiiForums mobile app
Yan rahis tyuu kwanza unacreat accoylunt and then una apply so Fanya uwai mzee au nchek 0714489657 whtsapp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo ni kizuri kwa mazingira ya kujisomea lakini miundo mbinu Mibovu hostel zipo mbali na za ndani hazitoshi pia uongozi ni mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uongo.
ITV waliripoti vyuo ambavyo havina vyoo na mabomba ya kutosha hiki chuo hakikuwepo.

Kwa maelezo yako ya hosteli na uongozi nahisi wewe umepata taarifa za zamani.

Ni kweli mazingira ya kujisomea mazuri mno, ifm na cbe watathibitisha hili.

Hosteli za ndani hazitoshi kweli ila za nje sasa hivi zinachukuliwa pale kwa Bonge, yaani pale pale Feri. Uongozi ulishabadilika, yule aliyekula hela za ujenzi wa hosteli aliondoka kitambo kaja Profesa mmoja hivi

Hebu pitia sources zako upya.
 
Back
Top Bottom