Karibuni Chato Zoo and Hotel

Nahiyo zoo hao wanyama kawatoa wapi nyara za serikali hiyo pesa ya kuwanunua kapata wapi?
 
Majizi wenzake mnamtetea
kiukweli kabisa hata ningekuwa mimi sina uhakika kama ningetoka mtupu yaani niline asali na sina matatizo yoyote kisha ninawe mikono bila kulamba hapana kwa kweli.
jamaa hata kama aliiba angalau alikumbuka kuwekeza kwa community ya kwao ambayo kila mtanzania anaweza kuwa na fursa ya kazi na biashara huko sasa kazi kwao kujipanga ili hayo waliyopewa wasigeuke magofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…