Karibuni Chama kipya cha Siasa - Arusha Declaration Alliance

Status
Not open for further replies.
ACT pia walisema wangemleta Malema kwenye uzinduzi wao,
Hivi malema alihudhuria uzunduzi wa ACT kama ilivyotangazwa??
 
Jina lenyewe litatumika kama rungu la kukipndea hicho chama, watanzania kutoka mikoa mingine wataambiwa ni chama cha wanaarusha pekee, na hivyo kupelekea kukosa wadau toka mikoa mingine chezea polical arguments wewe!! weee!! wee!! Congrats ila nawashauri mbadilishe hilo jina kabisaa.
 
Ni mpuuzi tu hatoelewa hili. I knew this would happen sometimes in future. Shetani ana mbinu nyingi sana.

Kanda ya Kaskazini haipo chama chakavu completely. Hata teuzi ya yule Mzee wa zero form six kukinadi ni strategy ya nifanye nini??? Wakishinda ni ubabe kama wa Zanzibar. Time will tell

Kudhoofisha huko tu
 
chama kisiitwe arusha!
Bali kifuate utaratibu wote wa azimio la arusha.
kiitwe ""mwl jkn reformation party""
 
Otesheni tu kama uyoga.... Utahitajika kuwa na degree ya upumbavu tena wa first class kujua utitiri wa vyama una msaada unasaidiabkudidimiza ukuaji wa demokrasia hapa nchini.... Kwakuwa lengo letu ni kukandamizana wenyewe poa tu otesheni chama
 
Niwaahidi kuwa chama hiki si cha ukanda bali ni katika kuenzi azimio la Arusha la mwaka 1967 (Siasa ya Ujamaa & KUJITEGEMEA)
 
Ujinga huu,chama kipya afu cha azimio la Arusha,kinagawa tishet,kanga,kofia,pombe,pilau na nauli??? Mmetoa wapi hizi hela
 
Niwaahidi kuwa chama hiki si cha ukanda bali ni katika kuenzi azimio la Arusha la mwaka 1967 (Siasa ya Ujamaa & KUJITEGEMEA)
Tupo pamoja mwanangu, toa utaratibu vizuri basi, 2020 tunachukua nchi kabla jogoo hajawika,Asante Mungu
 
[QUOTE="bushland, post: 16034903, member: 277utumia tiketi ya ndege kabisa, utalala hoteli nzur kabissa[/QUOTE]
Duuuuuuuu hii itakuwa chama cha freemason. Hela yote hiyo mmetoa wapi.
 
Vyama vilivyopo vyenyewe vinambwelambwela... Bado mnawaza kuviongeza?

Kweli bongo fulu utata
 
Mmh uzii unachanganya...
hiyo 30000 ya nn wakati ubadai tshirts na kofia na kanga vitatolewa..au na 30 itatolewa pia??
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…