Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,516
- Thread starter
- #521
tupo kwema ?wapi hiyo wadau?
tupo kwema ?wapi hiyo wadau?
tupo kwema ?
kulikuwa kunani huko??kwema. nilikuwa Swahili-Kipande Street leo.
Sina maana kwamba unaye wewe.... Nina maana kwamba umemkera mpaka ameamua kujificha..... Lakini nimerudi nyumbani nimemkuta kalala.... Dadaako ananipenda sana.hahaha leo unaniulizia Binam ,hahaha ndo ujuwe yule wangu ngoja ntamuita aje
CC Arabian queen
hahaha kashata zilikosekana huko?
hahaha kama ungekuwa naye usingeniuliza dada angu yuko wapi?Sina maana kwamba unaye wewe.... Nina maana kwamba umemkera mpaka ameamua kujificha..... Lakini nimerudi nyumbani nimemkuta kalala.... Dadaako ananipenda sana.
karibia mkuuhodi hodi
Gahwa haijapowa ila ndo umeikuta jikoni ngoja ipate moto utaenjoy tu
karibia mkuu
wacha we...!! Ntajitahidi nifikishe habariAhsante, Mwanahawa nimemkuta? Basi akirudi naomba umpe hii anuani ya ile Guest niliye ahidiana naye tukutane. Mwambie aje akiwa msafi na kappa deodorant bila kusahau manukato.
mwanahawa alikuwepo ila katoka na jamaa yake ,labda umsubiriiAhsante, Mwanahawa nimemkuta? Basi akirudi naomba umpe hii anuani ya ile Guest niliye ahidiana naye tukutane. Mwambie aje akiwa msafi na kappa deodorant bila kusahau manukato.
fikisha mkuu mjumbe hauwawi ila angalia usikutane na mwenye dar yake akakutekawacha we...!! Ntajitahidi nifikishe habari
Cc nyegeiWakuu mwenye grp la whatsapp la mambo ya kimataifa au siasa za nyumbani ninaomba aniadd..
0739958855
mwache ale maisha wakati wake huu ,maana kila zama na nabii wakenaskia mzee Juma pesa zake za kinua mgongo alizopata toka Jeshini kanunulia volvo truck mtaani atupumui...