Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,538
- Thread starter
- #181
Yaan kabla ya kuniita hakikisha nina drip mkononi maana waeza nipoteza kwa jumla aiseeeHahahahahhbinamuu unavisaa ivi huachi tu ww,ngojea nitakwita baadae
![]()
Yaan kabla ya kuniita hakikisha nina drip mkononi maana waeza nipoteza kwa jumla aiseeeHahahahahhbinamuu unavisaa ivi huachi tu ww,ngojea nitakwita baadae
![]()
kakuamini sababu yuko kwa mke wa pili ngoja atoke huko ndo utamjuaKashaniamini tayari sina presha tena mie
Nimeshakuja ndugu yangu nipe habari mana kule ni pagumu hata kusalimianaDear umefika na huku karibuu,nlikua nakungoja kwa hamu
kuitwa dia ,maana nineno huwa linaniketea ugonjwa wa moyo aiseeHahahahakisa na mkasa
Nimeshakuja ndugu yangu nipe habari mana kule ni pagumu hata kusalimiana

Nilikuwa nampa maana tu huyo shemhapana ww huyo mwite wifi yako![]()
![]()
![]()
Sure tena anajilia vinono huko humwoni hapa mpaka jumapiliiUsitake kunipa preshaaa
dah bora aisee maana tusije tukatiana vidonda vya tumboWw ntakwita binamu tuuu
ok sawa maana isije ukautengeneza ubinamuNilikuwa nampa maana tu huyo shem
Ahsante. Nshakaribia hayo ndio mambo yangu napenda hatari.Karibu kahawa
Na kashata na vibiskut
Alaf tuendelee

hawezi kukwambia ukweli aisee maana ukimpigia simu atakwambia yuko bank
vileja hulii ?maana Binam ndo anavipika hapa!!Ahsante. Nshakaribia hayo ndio mambo yangu napenda hatari.![]()
![]()
Abiria chunga mzigo wakook sawa maana isije ukautengeneza ubinamu

Uliingia na viatu kwenye thread za watu kumbe wao wanaingia na ndala hapo unategemea nintumekosa kazi ndo mana tumekuja humu kumaliza maongez,thread za watu tutakula ban buree
![]()

ushaona ee kumbe wamjua usichomwacha niniHahahahahaha kama kawaida yakeau atasema niko dubai napokea pesa

Vileja, kachori, kababu vyote nakula mieevileja hulii ?maana Binam ndo anavipika hapa!!

Kweli kabisa my mana siku zote haina mwenyewe unaweza kushangaa story zimenoga kumbe mnavuka mipaka.tumekosa kazi ndo mana tumekuja humu kumaliza maongez,thread za watu tutakula ban buree
![]()
