Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,469
- 101,432
- Thread starter
-
- #21
..hahahahahaha,,kule nikiweka full jina..Picha..mbona unaweza kupiga mayowe wasinichukue...maana..bora umuulize.....ili kama ni kutangaza....kila mtu atangaze.....tena mimi naenda kule love connect.....tuone nani ataanza kupata.....
...kama utanipiga..ingawa najua wewe ngumi jiwe...natania tu usije nipiga kweli bureehuamini nini.....?
..utaliwa na wanyama hukotwenzetu zoo......
mfumo jike huo.
kwa jinsi ninavyokujua simuoni wa kukuchukulia mume,vinginevyo huyo mumeo awe kimeo.Sio mfumo jike.
Huku ni kutaka kuwaweka mtegoni waume zetu.
Na nisikie....
wakuchukulie mume wewe thubutuu,labda utake.Sio mfumo jike.
Huku ni kutaka kuwaweka mtegoni waume zetu.
Na nisikie....
kwa jinsi ninavyokujua simuoni wa kukuchukulia mume,vinginevyo huyo mumeo awe kimeo.
Mbona huyo mume wenzake walishamchukulia zamani,
sema hajapata nafasi ya kufumania tu..
wakuchukulie mume wewe thubutuu,labda utake.
Nani kamchukua?
Unataka aje na mdundiko na matarumbeta kunisuta..??
Usiogope bhana.
Nambie.
Unavyonibembeleza leo msiri wangu,
haya ntakuambia,lakini utanipa zawadi gani..??
..nakuja huko hukotwenzetu zoo......
Na chama cha masters na PhD linapatikana wapi?
Unavyonibembeleza leo msiri wangu,
haya ntakuambia,lakini utanipa zawadi gani..??