Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,950
- 46,344
Sasa ACT ina tofauti gani na CCM? Hao si wale wale tuNasema kwa sababu
1. Mama anamnanga JPM kila jukwaa . Watu hawamtaki huku.
Wamediriki kuwaita Sukuma gangi
2. Mbowe ameonesha waziwazi kuwa wachaga walitengwa na JPM.
Hivyo wanaona CHADEMA /Mbowe wakichukua dola watawatenga kanda ya ziwa.
CCM NA CHADEMA Hawana chao tena huku.
Nafasi ya ACT- Wazalendo sasa
Ahsante.
View attachment 2181695