Karibu Zitto Kanda ya Ziwa

Karibu Zitto Kanda ya Ziwa

Yaani hakuna mtu anayeongoza kumchukia Magufuli kama Zito, kumbuka alivyomtetea Makamba kwa nguvu kuhusu kukatika umeme, kwamba Magufuli hakufanya ukarabati
 
Tena Zanzibar ndio inawapa kiburi. Ndio maana Zitto anajipendekeza kwa Rais, ili 2025 Waachiwe majimbo Pemba halafu Chadema wafanyiwe Kama 2020, ili ACT kiwe chama Kikuu Cha Upinzani.
Chadema si walisema hawatashiriki uchaguzi bila katiba mpya?
 
Mchukueni dalali mwone atakavyo wauza Kwa majirani zetu,kama utakuwa Uganda ,au Kenya au Rwanda,au Burundi au Kongo mtajijua wenyewe.[emoji12]
Propaganda za kizee hizo, propaganda wakizokuwa wanaeneza CCM kipindi cha ku-introduce vyama vingi.
 
Nasema kwa sababu

1. Mama anamnanga JPM kila jukwaa . Watu hawamtaki huku.
Wamediriki kuwaita Sukuma gangi

2. Mbowe ameonesha waziwazi kuwa wachaga walitengwa na JPM.
Hivyo wanaona CHADEMA /Mbowe wakichukua dola watawatenga kanda ya ziwa.

CCM NA CHADEMA Hawana chao tena huku.

Nafasi ya ACT- Wazalendo sasa
Ahsante.
View attachment 2181695
Sato si nzuri kwa afya ya akili
 
Hata kama mmeamua kutudharau wasukuma kama mnavyotuita Washamba ila msifikie kiasi cha kutuletea Zitto,hiki ni kiwango kikubwa sana cha Dharau.
 
Hakuna haja ya kuanzisha chama kipya, waingie mkataba na vyama vidogo vilivyopo as kina Sipunda nk
 
W

Wafanyeje?. Wakati mikutano ya hadhara imezuiwa miaka 6 Sasa. Ulimsikia kinana alisema kuwa CCM ndio inaiamrisha serikali ifanyeje. Unaelewa maana yake.

Wakati chadema wanataka kufanya maandamano ya UKUTA watu waliwadhihaki na kusubiria kuona polisi watakavyo wapiga na kuwajeruhi. Leo mnaanza unafiki wenu. Chadema ikae kimya, majitu manafiki dawa yao yaache yaumie mpaka yafe.

Kumbe unadhani wanapambana kwa ajili yako ndugu mwananchi, basi waache wakae kimya…. mimi naamini ni kwa maslahi yao binafsi hivyo wanapaswa jasho liwatoke ili watimize njia waliyochagua.
 
Back
Top Bottom