Karibu Zenji

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
09_11_qvwkbz.jpg
Wafanyakazi wa kampuni zinazofanya shughuli za kitalii za Afrika ya Kusini wakipokewa kwa heshima na gwaride la Wamasai baada ya kuwasili kwenye hoteli ya Blue Bay Beach Resort, Kiwengwa Zanzibar ambapo walipata fursa ya kukagua hoteli hiyo na kuridhika kuwa Zanzibar ina uwezo mkubwa wa kupokea idadi kubwa ya watalii kwa wakati mmoja.
 
Lugha gongana,picha muzuri.

"Be honest nitajie lugha ya kabila yako kwanza " .kweu sisi tusio na lugha nyingine isipokuwa kiswahili huwa tunakitumia katika mithili ya misamiati au mafumbo na ndio maana kiswahili kina burudani yake ukiwa unakijuwa Usihahau utokako inamainisha kuwasifu hao jaama wa kimasai kwa kutunza tamaduni zao na adentiti zao ijapokuwa wamehamia katika nchi ambayo ina tamaduni na lugha ambayo imetafautiana sana na walizo zaliwa nazo na wanakotoka kwa kuongezea zaidi nitakupa mfano leo hii mpo wangapi lugha zenu za makabila hamtaki hata kuzisikia (ni veri a piti)
 
labda baada ya kuandika heading akasahau alichotaka kupost..................huh
 
Back
Top Bottom