Karibu yanikute.......

Najua mmoja mke alimtoa kwenye noma ya nyumba ndogo, miaka miwili sasa kila siku anakumbushwa "umesahau ya fulani, anza tena uone nani atakusaidia. Kama sio mimi si ungekuwa jela wewe" Kaka ana adabu za kutosha. Wakati mwingine ni bora useme tu.

Mkeo anaweza kuishia kucheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…