Karibu upate mchele mzuri kutoka ifakara

Karibu upate mchele mzuri kutoka ifakara

besaro

Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
53
Reaction score
40
Tupo dar kimara eneo la maduka matatu.
Tunauza mchele supa kutoka ifakara morogoro bei yetu ni nzuri 1900 kwa kilo
Ukichukua kuanzia kilo 100 tunakuletea mahali ulipo kwa maeneo yote ya dar

Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba zifuatazo
+255-769-825-138
+255-719-076-235
+255-786-532-100

Tunawakalibisha wote
 
Njoo hapa Ifakara kuna super kwa 1,100 ukichukuua kuanzia kilo 100 nitakuuzia 900.
Usidanganye watu mkuu,nimetoka huko juzi kurejea kwangu tanga,nimekuta pure mchele ni 1400 (mashine kabisaaa)

Japo madukani ndio 1600/1700/1800!

Wewe hiyo 900 ni Ifakara ipi aisee
 
Bei ya mchele inatisha na hailekei kupungua
 
Back
Top Bottom