kianzio bei gani. Camera 3Imarisha ulinzi wa nyumba ,ofisi au sehemu ya biashara kwa kufunga Cctv camera. Tunazo camera zenye ubora zinaonyesha picha angavu( HD) hata usiku. Pia unaweza kuangalia matukio yote kupitia kwenye simu yako ya mkononi ukiwa popote. Bei zetu ni nzuri na tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa kutosha. Karibuni sana .
Gharama za vifaa pamoja na ufundi kwa camera 3 itakuwa 580,000/=. Unaweza pia kunipigia kupitia namba 0764308320 kwa maelezo zaidi. Karibu sana tukuhudumie.kianzio bei gani. Camera 3
HD maana yake inaonyesha picha coloured usiku na mchana na siyo black and whiteHD ikifika usiku tunaona black and white
Ujaelewa tumefunga izo HD as you proclaim ila usiku zinakua black and white so Ata kueka zingine jau kweli Tena hikvision iyo iyoHD maana yake inaonyesha picha coloured usiku na mchana na siyo black and white
Pole sana kwa hiyo changamoto bosi shida ni kuwa aliyewafungia hakuwaeleza ukweli kuwa ziko camera za HD ambazo usiku inakuwa black and white na zipo ambazo zinaonyesha HD usiku na mchana . Toka tumeanza kufunga camera zaidi ya miaka 10 hatuajawahi kulalamikiwa kuhusu ubora wa picha mida ya usiku au mchana . Naomba uniamini tuje tukufungie kama usiku zitaonyesha black and white nakutudishia hela yako. Sisi tunapofunga camera tunafunga camera zenye quality ili kuepuka malalamiko ya wateja na kuitwa site kila wakati kwani kwetu ni gharama. Hizo za black and white wakati wa usiku tulishaachana nazo muda mrefu. Karibu tukuhudumie.Ujaelewa tumefunga izo HD as you proclaim ila usiku zinakua black and white so Ata kueka zingine jau kweli Tena hikvision iyo iyo
Itakuwa 520,000 bosi wangu . Karibu tukuhudumieDvr ya njia nne full na camera (colourVu) zake bei gani? Gharama Isihusishe na ufungaji.
Karibu tukuhudumie bosi wangu.
Nitafurahi sana kukuhudumia bosi wangu na hautojutia kupata huduma yetu. Naomba usiwe na wasiwasi kazi zetu ni za uhakika tutakufungia camera zenye night vision ambayo hufanya picha zionekane na rangi muda wa usiku hivyo mambo ya black and white hutayaona . Ukitaka tuunganishe camera na simu yako ya mkononi ili uweze kuona matukio yote ukiwa mahali popote pia tunafanya kwa ubora wa hali ya juu. Kama una swali lolote usisite kunipigia 0764308320.Sawa ntakaribia
Camera 2 za kuweka ofisini,na niwe naona matukio kupitia simu yangu ni gharama yake ikoje?Gharama za vifaa pamoja na ufundi kwa camera 3 itakuwa 580,000/=. Unaweza pia kunipigia kupitia namba 0764308320 kwa maelezo zaidi. Karibu sana tukuhudumie.
Wafanyabiashara wa Tanzania kila mteja wanamwita ''bosi wangu''. Hili huwa silipendi kabisa.Itakuwa 520,000 bosi wangu . Karibu tukuhudumie
Samahani sana kama nimekukwaza kwa hii kumuita mteja bosi wangu siyo kwa nia mbaya bali ni kumpa heshima mteja wako sababu akikupa kazi ni kama bosi wako tu. ila nimepokea ushauri wako asante sana.Wafanyabiashara wa Tanzania kila mteja wanamwita ''bosi wangu''. Hili huwa silipendi kabisa.
Gharama zote jumla ni shilingi 720,,000/=Camera 2 za kuweka ofisini,na niwe naona matukio kupitia simu yangu ni gharama yake ikoje?
Camera 2 za kuweka ofisini,na niwe naona matukio kupitia simu yangu ni gharama yake ikoje?
Unachukia kuitwa Boss?Wafanyabiashara wa Tanzania kila mteja wanamwita ''bosi wangu''. Hili huwa silipendi kabisa.
Kwanini neno la heshima ni boss tu? Mimi ni mteja na nitafurahi kuitwa mteja. Na zaidi: hata uitwe majina mazuri namna gani interaction na huduma kwa mteja ndiyo kila kitu. Unadhani sijatembelea sehmu kama Kariakoo ambako kila mteja huitwa boss lakini huduma ni mbovu kabisa? Mimi huu utamaduni wa Bongo kuita watu amajina kama ''anko, anti, shangazi, bosi, mzee'' siupendi tu.Unachukia kuitwa Boss?
Sasa hiyo si ndio maana ya mteja mfalme ama?
Kwa hiyo wewe unapendelea wale wafanyabiashara jeuri ambao wanakujibu hovyo?
you are not serious at all, hebu weka hapa huo mchanganuo wa bei wa camera 2 na 4G router tuone imefikaje 720,000Gharama zote jumla ni shilingi 720,,000/=