Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Hapo inategemea na mazingira uliyokulia,wengine wamekulia milimani hivyo vitu kama hivi kwao ni kawaida,ila inaogopesha sana.
Mkuu hapana aisee mi mwenyewe nimekulia milimani ila kwa hapo big no....sipiti