Karibu tusome.

Karibu tusome.

kfi

Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Kilimanjaro Film Institute(KFI)itatoa mafunzo kwa watengeneza Filamu na Waandishi wa habari Tanzania.Sababu kubwa yakuendesha mafunzo haya ni kuwawezesha washirirki Kuandika na kutengeneza Makala au Filamu zinazo endana na maadili ya Kitanzania.
Mafunzo yataanza tar 18 August 2014.Washiriki watachangia ada ndogo,kwa mawasiliano tembelea Facebook page Moving Tanzania au Kilimanjaro Film Institute.Email:movingtanzania@kilimanjarofilm.org.
Asanteni na karibuni nyote.
 
Back
Top Bottom