Karibu tuorodheshe mila potofu

Karibu tuorodheshe mila potofu

Kubadili matumizi ya rambi rambi nayo ni mila potofu
 
kukaa kwenye mafiga eti mkia utaota na hii nyingine eti mvua ikinyesha na jua kuwaka kwa wakati mmoja basi simba anazaa
 
Kuamini kuwa bashite(wenye zero) anafaa kuwa Mkuu wa mkoa pia ni mila potofu
 
Back
Top Bottom