Karibu Tule UGALI

Karibu Tule UGALI

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
536591_473871015969277_1851024706_n.jpg
 
Umenikumbusha kwetu,ngoma inaliwa saa mbili asubuhi kisha mnatoa Ng`ombe kwenda kuchunga,kurudi saa moja jioni,,,,,,
 
Ulafi huo makitu yote hayo

Unadhani utakula hivyo afu unaenda kubofya keyboard, msosi wetu watu wa jembe la mkono huu, ilikuwa nikipiga hiyo kitu na glasi ya mtindi nikapuliza na kitu cha mwakaleli au arusha hadi jua litazama niko shambani, kesho yake nikiangalia nilipolima siamini,inakuwa kama tulikuwa watano, in those old good days!!!
 
Mi nataka niuombee kwanza, macho yamewatoka wana JF hp hatari. Hahaaaaaa!
 
Unadhani utakula hivyo afu unaenda kubofya keyboard, msosi wetu watu wa jembe la mkono huu, ilikuwa nikipiga hiyo kitu na glasi ya mtindi nikapuliza na kitu cha mwakaleli au arusha hadi jua litazama niko shambani, kesho yake nikiangalia nilipolima siamini,inakuwa kama tulikuwa watano, in those old good days!!!

Hao ni wapasua mbao..au wachimba madini
 
Da jamanii ho ugali kweli au maaana nahisi na mimi NIPO hapo tumejuika
 
Last edited by a moderator:
Hii k2 imenikumbusha mbali mze! Unakuta maza anaamka mapema nazan ni saa9 usiku c unajua alarm ni jogoo kuwika huko vjjn, afu anapikia chungu zaidi ya masa2 anapka 2. Asbh sn mnapiga k2 dona ss 2naita A'RU, bada ya hapo unakamata jembe na uji wa kupooza kiu. Acha kabsa, 2likuwa strong sio km vjana wa sku hizi wa .com arijojo. Dah, nimemc iyo k2!
 
Back
Top Bottom