Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,120
- 49,495
Ok nimeelewa, ninayakausha Kwanza?
Sijawahi kunywa iced tea naisikia tu
Ni kama unavyofanya kwa mchai chai
Unayachuma unayakosha unatilia kwenye maji unachemsha na viungo vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app